tabu kwachu tabu kwach

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uwesutanzania

    Natafuta wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno 'Tabu Kwachu Tabu Kwachu'

    Najua Jamiiforums hakishindikani kitu. Kuna wimbo mmoja alikuwa anaupenda sana kuusikiliza mpangaji wetu marehemu mmoja hivi mlevi mlevi. Ni wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno TABU KWACHU TABU KWACHU Ilikuwa kipindi nipo mdogo ila leo nimemkumbuka sana marehemu mpangaji wetu
Back
Top Bottom