habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa.
mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance.
NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
Wasalam wakuu,
Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.
Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha...
Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3.
Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
Nikitazama namna ya maisha ilivyo sasa na inavyo enda nathubutu
kusema kwamba wazee wa kuanzia miaka ijayo 20 au pengine hata kabla
watakabiliwa na maisha magumu sana.
Hili nalitazama katika mambo matatu. Mosi ni wazazi wengi wa sasa
kukosa muda wa kuwa na watoto wao kwa ajili ya kutafuta...
Kufuatia mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano wa CCM na ambayo yanaendelea kufanywa na Mwenyekiti wa Sasa wa CCM, sioni kabisa wa kuweza kuishinda CCM iwe ni chama na mgombea binafsi kama utaratibu huo ukiruhusiwa na kuanza kutumika kwa nusu Karne ijayo kuanzia 2025 mpaka...
Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?
Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger.
Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege...
Sauti ya Rais ni faraja,
Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi
Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo
Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!
Kila upande...
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara...
Kuna hitaji ujenzi wa dharura wa barabara ya zamani ya kibaha mlandizi then mpango wa barabara nne ulioishia kibaha mailimoja ufike japo mlandizi, kwa sasa ikifika jioni ni shida, kwa mfano leo gari moja tu lime break down basi tangu saa kumi hadi saa nne hii ni foleni, TANROADS naomba mulione...
Karibu afande Jumanne Muliro katika mkoa wetu wa Dar es salaam.
Tunaelewa utumishi wako uliotukuka uliowezesha amani kutamalaki mkoani Mwanza. Ni imani yetu unatuletea amani katika mkoa wetu huu wa Mzizima.
Karibu sana.
-----
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro amefanya mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.