Kwa muda mrefu sana nimekuwa napata wakati mgumu ninapoona baadhi ya maneno ya Kingereza haswa katika Technology au professional fulani kukosa tafsiri rasmi. Hapa neno "tafsiri" nina maana ya translation. Mfano maneno kama, excavator katika context ya machinery au equipment; hearse katika...