Habari wakuu
Mim huwa naota ndoto nyingi ila hii yajuzi nimeona niitilie manani kidogo maana mpaka leo sijapata majibu
Mimi naishi hapa hom na mam lakn kwasas anaumwa umwa kdg,
mzee alishafariki na kuna kaka angu alifariki mda sana kabla hata mimi sijaanza shule nilikuwa mdogo ila nakumbuka...
Ni nini tafsiri ya kuumwa kwa nge katika ndoto
Tafsiri ya ndoto kuhusu kuumwa kwa nge Inachukuliwa kuwa moja ya ndoto zinazosumbua sana kwa mwonaji, kwani ng'e ni mmoja wa wadudu ambao husababisha shida nyingi katika tukio la kuchomwa naye, kwani ni sumu na inaweza kusababisha kifo wakati...
Simba ndiye mnyama mwenye nguvu kuliko wote katika uso wa dunia, na anajulikana kwa jina la mfalme wa porini, na kumuona katika ndoto ni moja ya maono ya mara kwa mara kwa watu wengi, kwani ni moja ya maono ambayo humtesa mmiliki wake kwa hofu na hofu, tafsiri ya ndoto hiyo inatofautiana...
Kuota unarudi kijijini ulipozaliwa, ulipoishi zamani.
Umelala au kuingia kwenye nyumba ya zamani ya kijijini kwenu ambapo pengine hiyo nyumba haipo tena.
Kuota upo kijijini kwenu na kuona unapitia mazingira flani huko maana yake ni kwamba;
Matatizo ulionayo kwa wakati huo chanzo chake ni huko...
Hamjambo,
Usiku wa kuamkia leo nimeota nipo kwenye mji mwingine, ni kama "lost city" ambapo hakuna mtu lakini majengo yake ni makasri, kama yale kwenye filamu za katuni, mfano jengo la Disneyland.
Nimeota hayo majengo ni chakavu, na nje kuna sanamu za farasi aliyepandwa na mtu akiwa...
Ushawahi kujiuliza kwanini umeota askari anakukamata na kukuweka kituo?
Kuna wengine wanaota ndoto za majoka na wanyama wengine.
Basi nikwambie tu,ndoto ni fahamu zako na ikiwa huzitambui fahamu zako basi ni ngumu kutafsiri ndoto,unapoenda kwa viongozi wa dini sometimes wanakosea.
Lets say...
Inakuwaje zaidi ya mara tatu naota napigana na mshua😂, yaani tunapigana sana na mawe wakati mwingine namhurumia lakini na yaye ananitupia mawe inabidi na mimi nimrushie.
Yaani tunapigana sana 😭, ni ndoto ya kujirudia pamoja na kuwa tuna mahusiano mazuri.
Tafsiri tafadhali.
Sijafahamu kama ninaishi katika hali halisi au katika eneo la kufikiria tu. Kuna tabia ya kuamka saa 8 usiku, saa 6 au saa 9, na sababu ikiwa ni ndoto – iwe mbaya au nzuri – huwa naamka.
Kwa bahati mbaya, ndoto za sasa zimejenga hali ya tahadhari na kunipa hofu kwamba kuna kitu kibaya...
Hii ndoto nimeitafakari sana Na sijaielewa. Nimeota niko kwenye nyumba Fulani nzuri sana, ndio naamka kitandani. Nikaanza kujiuuliza hapa ni wapi?
Nikaingia washroom, nikapuuh kisha nikasema nitoke nje huenda nikajua niliko.
Kiunoni Nina taulo tu, nikawaona mabinti wamekaa kwa nje, nikawa...
Habari wakuu,
Juzi niliota nikamuona jamaa mmoja ambaye ni mkuu wangu kwenye "kampuni" tunapofanya kazi yupo anaangalia navyopambania mchakato wangu wa kupata hela ananichek kwa jicho kama anataka kwamisha mishe yangu (na yeye ndio mkuu wa ofisi ya pesa), kesho yake kazini asubuhi namuona...
Wasalaam,
Watafsiri ndoto, watu wa Imani, manabii, wanajimu....n.k, naombeni msaada wenu.
Ipo hivi.....
Kuna aina ya ndoto nimekuwa nikiota kwa muda mrefu sana kwenye maisha yangu, over 7+ years, nashindwa kuelewa maana yake na kwanini zimekuwa zikijirudia kwa namna yake kwenye hali tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.