Wasalaam,
Watafsiri ndoto, watu wa Imani, manabii, wanajimu....n.k, naombeni msaada wenu.
Ipo hivi.....
Kuna aina ya ndoto nimekuwa nikiota kwa muda mrefu sana kwenye maisha yangu, over 7+ years, nashindwa kuelewa maana yake na kwanini zimekuwa zikijirudia kwa namna yake kwenye hali tofauti...