🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨
👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho.
👉Malaika ni Gabriel
👉Chakra: root chakra
👉Nambari: 9
👉Kipengele: Maji
👉Rangi: Mpya: Nyeupe...
Habarini Wanajf wenzangu, Ihope mko good.
Kwa mara ya kwanza nafanya meditation baada ya kufundishwa na jamaa mmoja hivi niliona haina maana, lakini kadri siku zilivyozidi kwenda niliona mabadiliko fulani ndani ya akili yangu.
Nikawa na uwezo wa kukuntrol akili na emotions zangu jambo ambalo...
Chimbuko/historia ya tahajudi:
Neno tahajudi limetokana na neno la kiingereza linaloitwa 'meditation' likiwa na maana ya kufikiri kwa uzingativu au kwa kujali. Neno meditation, nalo limetokana na neno la kilatini linaloitwa 'meditatio' likiwa na maana ya mazoezi ya mwili na akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.