Habarini Wanajf wenzangu, Ihope mko good.
Kwa mara ya kwanza nafanya meditation baada ya kufundishwa na jamaa mmoja hivi niliona haina maana, lakini kadri siku zilivyozidi kwenda niliona mabadiliko fulani ndani ya akili yangu.
Nikawa na uwezo wa kukuntrol akili na emotions zangu jambo ambalo...