ABC wamerusha taulo,
Na kuuzwa kwa access bank,
Lakini kuna wateja ambao walikuwa wameomba mikopo kipindi kabla ya June 1,
Hata hivyo mpaka sasa nikizungumkuti,
Kwani hakuna malipo yoyote yamefanyika toka tarehe moja,
Na hata nilipo jaribu kufika ofisini kwao
Nilijibiwa kwamba wapo kwenye...