Mwanzo ilikuwa kama tetesi na mshangao kuwa Iran imeiuzia au imeipa zawadi Urusi droni zake ili zishiriki kuitandika Ukraine.Na hata raisi wa Ukraine mwanzoni alizitaja droni kuwa haziwezi kazi na hazitobadilisha kasi yao ya kuteka miji ya Urusi.Mambo yamebadilika tangu wiki mbili zilizopita...
Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki
Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
Maboresho yanayoendelea kufanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), yameibua malalamiko na taharuki kwa wanachama, hasa baada ya baadhi ya wategemezi wakiwamo wazazi, kuanza kuondolewa katika mfumo wa matibabu.
Taharuki hiyo imeibuka siku moja tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuagiza...
Huko Hai Kilimanjaro, Katibu wa CCM wilaya ametengeneza kituko cha mwaka ndani ya chama Tawala ccm kwa kuunda Kamati ya muda ya siasa ya ccm wilaya inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm ili kujadili wagombea wa ccm waliochukua fomu kugombea nafasi mbali mbali ndani ya chama.
Swali la...
Wakati Rais Samia akimpolea Rais wa uganda Yoweri Mseveni uwanja wa ndege jijini Dar kuna taharuki ya kuwepo mgonjwa wa kwanza wa kirusi kipya kilichogunduliwa Afrika ya Kusini siku tatu zilizopita.
Mgonjwa huyo Mzungu Rais wa Botwana aliyedaiwa kuingia nchini kutokea mjini Johannesburg Afrika...
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa...
Dunia ikiwa bado haijamalizana na janga la COVID-19, ambalo limeondoka na roho nyingi za watu na kukwamisha shughuli nyingi za kiuchumi, sasa kuna taharuki mpya imezuka baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza virusi vipya vinavyosababisha ugonjwa wa monkeypox.
Monkeypox ni virusi...
Wakaazi wa kijiji cha Mutiribu, kaunti ya Meru walipigia simu Huduma ya Wanyama Pori KWS kuja kumnasa ‘simba’ aliyekuwa amejificha kichakani karibu na makazi yao
Ila maafisa hao walipofika mahali hapo waligundua kuwa ‘simba’ huyo alikuwa ni mfuko wa Supermarket ya Carrefour.
=========...
Polisi nchini Brazil wamewakamata wanaume watatu kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mhamiaji wa Congo mjini Rio de Janeiro.
Mauaji hayo yaliyonaswa kwenye video yamesababisha ghadhabu ya umma.
Jamaa wanasema Moise Kabagambe alishambuliwa baada ya kumtaka bosi wake alipe mshahara anaodaiwa kwa...
Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi.
Sasa kiki ya...
Ndugu wadau wa elimu habarini za mda huu,
Tangu kuanza kwa wiki hii inayoelekea weekend kumetokea na taharuki kubwa kwa vyuo mbalimbali hapa Nchini na inaendelea hadi da huu wanafunzi wengi tuko midomo wazi.
Issue iko hivi, baada ya vyuo kufunguliwa na wanafunzi kuanza masomo bodi ya mikopo...
Sasa ni taharuki kwa wanafunzi wa shule za msingi wakiwa shule waonapo wageni au magari yakiingia shuleni basi huanza taharuki na kukimbia ovyo.
Taharuki hiyo imesababishwa na wazazi wanaowambia watoto wao kuwa serikali inataka kuwachoma chanjo ya Corona kitu ambacho si sahihi.
Wazazi hao...
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti...
chadema
freeman mbowe
hadhara
katiba mpya
kongamano
kukamatwa
maandamano
mikutano
mikutano ya hadhara
mkuu wa mkoa
mwanza
polisi tanzania
taharuki
viongozi
wananchi
wenzake
Nimepigiwa simi na dogo anatoka Gongo la Mboto kuja mbagala anasema uwanja wa ndege watu wanakimbia ovyo wengine wameanguka hajui Kuna nini mliopo karibu tujuzeni.
===
Kutoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (Terminal 2), Dar es salaam muda huu imetokea taharuki na Watu wote wakiwemo abiria...
Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo.
Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika kwa NBS, Wizara ya Fedha.
Lakini Waziri Ummy inabidi aache tabia ya kuzisemea ofisi za Ma-RC eti...