tahasusi tofauti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Tahasusi ipi kati ya PCM na PCB ina uwanda mpana wa kusoma kozi nzuri zinazoendana na hali ya Dunia ya sasa?

    Ndugu wadau, nilitaja kujua combination ipi kati ya PCB na PCM ukifauli inaweza kukupa uwanda mkubwa wakusoma course nzuri huko mbele za safari baada ya form six. Asante sana.
  2. Roving Journalist

    Mwanafunzi wa Kidato cha 5 fanya haya ikiwa unataka kubadili tahasusi (combination) tofauti na uliyopangiwa

    Wewe ni mwanafuni unayejiandaa kwenda kidato cha 5 ukiwa na ndoto ya kusoma tahasusi fulani, lakini unajikuta umepangiwa tahasusi tofauti na matarajio yako, na wakati mwingine unapangiwa tahasusi uliyochagua lakini kutokana na sababu mbalimbali unafikia maamuzi ya kubadili tahasusi hiyo, je...
Back
Top Bottom