Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.
Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.
Cha...