Niliwahi kuhudhuria ibada ambayo mchungaji Peter John wa Kanisa la Waadventista Wasabato alihubiri na kufundisha kuhusu Taifa la Mungu ndio nikaelewa vyema kuhusu suala la Israel
(nitajitahidi kutafuta lile hubiri kwenye youtube natumai itatusaidia wengi kwani tangu baada ya hapo uelewa wangu...