Mwenye macho haambiwi tazama Leo Taifa kwa ujumla wamepata aibu yaani kwenye mechi ya Taifa starz VS DR Congo.
Mashabiki wa congo wengi kuliko mashabiki wa Taifa Starz ndani ya uwanja wa nyumbani B.W.Mkapa stadium? Kweli?
Hivi ni kwasababu watanzania hawapendi timu yao ya Tanzania au wacongo...
Kufungwa kunauma sana.
Ila hawa wasemaji wakamatwe na wafungiwe kwa muda kuzungumzia mpira. Hawa wanamchango mkubwa sana kuharibu national team hasa kwa kupata matokeo mabovu leo.
Mfano katika press yao ya kuhamasisha walianza kuleta taharuki kwa kuhusiha mechi ya trh 19. Hii tayari ilipeleka...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo...
Wachezaji wa Tanzania hawana Uzalendo na Timu yao ya Taifa, wanapenda vilabu vyao zaidi na kimsingi wanapenda pale wanapolipwa zaidi.
Sijui wakiwa timu ya Taifa huwa wanalipwa sh ngapi, lakini ni dhahiri akili zao kwenye game ya leo dhidi ya DRC iliegemea kwenye mechi dhidi ya Simba na Yanga...
Jf,
Salaam!
Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.
* How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli?
* How come mchezaji kama Kibu D...
Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco.
Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni
Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi.
Dakika, 2 Stars...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.