taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

    Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wew wowote kwa Sababu kulinda kuzuia Mamluki Tofauuti na Idara na majeshi Mengine
  2. Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

    Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi? Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe...
  3. Wana Yanga Tumejiandaa kwa Maombi ya Mheshimiwa Rais na Taifa Tarehe 8 Machi, Mungu azidi kumlinda

    Wana YANGA mpooo Wana YANGA tumeamuaaa kumpongeza na kumwombea Mungu ambariki MH RAISI MAMA SAMIA HASSAN SULUHU WA Tanzania Mungu azidi kumlinda na kumbariki ampe nguvu ktk kuongeza MAENDELEO ya nchi yetu Tar 8 MARCH... Pamoja na hayo tumepanga kutembelea jamii mbalimbali kutoa misaada tar 7...
  4. Naomba kufahamu picha hii ilipigwa katika tukio gani?

    Naomba kufahamu picha hii ilipigwa katika tukio gani
  5. Taifa letu wapinzani kutekwa limekuwa jambo la kawaida kijana wa BAVICHA mkoa wa Mwanza amefikisha siku 15 na hakuna taarifa yoyote

    Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali. Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
  6. Tazama Ramani ndiyo uwe Wimbo wa Taifa, Mungu iwe Sala ya Taifa

    Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa. ===== 1. Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania Majira yetu haya...
  7. Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Watu wanawaza kuwalamba miguu Viongozi na kuwa machawa wao ili waendelee kula. Hawawazi maslahi mapana na Tanzania na kesho njema ya Taifa letu. Viongozi badala ya kuelekeza fedha zikawahudumie Wananchi ikiwemo kununua madawa, kuweka miondombinu bora ya elimu kwa watoto wetu inayohudumiwa na...
  8. Shirika la Bima la Taifa kuingia barabarani kukagua bima za vyombo vya moto imekaaje?

    Habarini wadau, nimeona leo kitu cha kushtua kidogo, Shirika la bima la Taifa (NIC) wameingia barabarani wakishirikiana na Traffic kukagua bima za vyombo vya moto. Hili jambo linakaaje kwa watu binafsi wanaotoa huduma hiyo? Mbona ni kama biashara yao itakuwa ngumu!?
  9. Huenda taifa la Japan likapotea ("Extinction") kutokana na watu kuacha kuzaliana

    Watafiti wanasema huenda Japan likawa taifa la kwanza kupotea duniani kutokana na watu wake kuacha kabisa kuzaliana. Swali la msingi: Ni kwa nini taifa au watu wanavyozidi kuwa matajiri ndivyo wanaogopa kuwa na watoto wengi au kuwa na watoto kabisa?
  10. Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  11. L

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  12. Pre GE2025 Vijana Tanzania wanaweza kubeti, kushabikia Simba na Yanga na Uchawa kwisha habari!

    Wakuu asalaam aleykum! Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk. Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi...
  13. T

    Dini na ukabila ni sumu kwa Taifa by Hayati Baba wa Taifa

    https://m.youtube.com/watch?v=6QHH07X5m28
  14. Hivi kumbe Taifa linaweza fika hapa..huu ni Utajiri gani. Sembe!?

    Kwa hali hii.. 5 more years ahead.. Damn . We are Dead. Ana nini cha kulindwa hivi. Watanzania Amkeni .. Wake Upp!!
  15. K

    Polisi, Jeshi na usalama tendeni haki kwa manufaa ya taifa!

    Polisi, Jeshi na usalama tendeni haki kwa manufaa ya taifa. Kama kweli mnapenda taifa hili simamieni haki na demokrasia. Waachieni Watanzania wachague watu wao kwa matakwa yao. Msiwaibie kura mafisadi. Jeshi jiulizeni vizuri wenzenu wamekufa huko Congo Je ni lini hao wanasiasa wamewaongelea...
  16. A best way foward: Kwa yanayotokea na hatari iliyopo mbele yetu, tufanye haya kulikomboa Taifa letu.

    Kwa wenye akili, dalili si nzuri kuhusu mustakabali wa Taifa letu katika miaka michache ijayo. It's obvious, tumezidiwa nguvu na maadui watatu aliotutangazia Mwalimu nyerere hasa ujinga. Kushindwa kupambana vizuri na adui ujinga kumeliweka Taifa letu kwenye hatari ya kupotea na kuangamia...
  17. Pre GE2025 Naibu katibu UVCCM Taifa, Mwatikinya: Ushindi kwa CCM sio ombi ni lazima. Hakuna Chama kinaweza tatua shida za Wananchi zaidi ya CCM

    Naibu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Taifa bara, Mussa Mwatikinya amesema ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwaka huu ni lazima na wala sio ombi. Akizungumza leo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro katika uzinduzi wa kambi la Vijana wa jumuiya...
  18. N

    Marioo balozi mpya Bahati Nasibu ya Taifa

    Dar es Salaam–Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, anayefahamika kwa jina la kisanii Marioo, ametambulishwa rasmi kama Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huu wa kimkakati unaleta matumaini, burudani, na fursa zinazoweza kubadilisha maisha ya Watanzania...
  19. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  20. J

    Inakuaje Kabudi anatangaza nyimbo zinazohamasisha usodoma kuwa alama ya taifa? Maadili yetu yanaelekea wapi?

    Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…