taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Kanzu/Baraghashia - Dear/Mtandio MAVAZI YA TAIFA

    Kama Taifa yafaa kuwa na vazi rasmi la kitaifa. Mchakato ukiamza ila sasa tuumalizie kabla ya 2025
  2. Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
  3. Hakujapata kutokea watu wanafiki dunia kama wafuasi wa CHADEMA na wanaharakati

    Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake, Kiasi...
  4. K

    MBOWE NI TUNU YA TAIFA

    Mheshimiwa MBOWE ni mkomavu na mwanasiasa aliyeweka maslahi ya Taifa mbele. Sisi wafia CHADEMS hatupaswi kutekwa na propaganda za mtu aliyeweka maslahi yake mbele badala ya nchi yake ya Asili. Mheshimiwa MBOWE pamoja na misukosuko ya kisiasa iliyomfika, bado alivaki nchini pomoja na familia...
  5. Tetesi: Huenda mgombea uongozi anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa uchaguzi wa chadema taifa kuwekewa vikwazo vya kimataifa

    Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo. Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
  6. Mbowe, kwa maslahi ya Chama na Taifa kwa Ujumla Fuata ushauri wa Familia

    Nikiwa kama mfatiliaji mkubwa wa mambo ya kisiasa nchini ningepeda pia nitoe ushauli kwa Mwenyekiti CHADEMA Tanzania Mh Freeman Mboe, huu ndo wakati sahihi wakupumzika majukumu makubwa ya uenyekiti. Ikumbukwe mpaka sasa wewe ndo Kiongozi bola zaidi wa nafasi hiyo kwa vyama vyaupinzani...
  7. Yanayojiri mpambano wa kuwania Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Habari. Uzi huu uwe mwendelezo wa kila kinachojiri katika mpambano huu wa kukata na shoka. Siku ya kesho December 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mdude CHADEMA kuongea n vyombo vya habari. Dec 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mwenyekit wa CHADEMA taifa mh. Freeman Mbowe kutangaza hatma yake. Lakini kesho...
  8. Siasa za Tanzania hazitabiriki, Kwa mara ya kwanza Mbowe anaingia katika uchaguzi wa mwenyekiti Taifa kama underdog

    Pole Sana Mh Mbowe na hongera Sana , sikutegmea Kama ungeingia katika uchaguzi huu wa mwenyekiti Taifa Kama Underdog Yericko Nyerere achana na kuafanya ibadi zisizo eleweka maana dua za mizimu yako haifanyi Kazi tena. Lucas Mwashambwa pole Sana na utaratibu wenu wa nusu mkate unaenda kukomeshwa
  9. L

    Pre GE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri . Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika...
  10. NDUGU ZANGU WATANZANIA: Naomba mnisaidie kusikitika ni hili la uwanja wa Taifa.

    SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika...
  11. Pre GE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Taarifa Kamili itakujia hivi Punde ======== Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo. Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
  12. Dira na Maono ya Taifa ni mali ya watanzania

    Maono ya taifa ni dira inayofafanua malengo makuu ya nchi kwa muda mrefu. Ni muhimu sana maono haya yatoke kwa wananchi wenyewe, kwani wao ndio wahusika wakuu na walengwa wa maendeleo. Makala hii inajadili wa ufupi tu sababu za kwa nini wananchi wa hali ya chini wanapaswa kuwa mstari wa mbele...
  13. M

    Tanzania Yaendelea Kung'ara Uimara wa kiuchumi: Ripoti ya IMF Yathibitisha Udhibiti Imara wa Deni la Taifa

    Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
  14. Yabarikiwe matumbo yaliyowazaa hawa vijana ambao wamelipa Taifa heshima kubwa.

    Hasheem Thabeet Diamond Samatta Kanumba Kuwapata vijana Kama hawa sio jambo jepesi.
  15. Intelijensia ya CHADEMA imefanikiwa kumuhadaa na kumuengua Tundu Lissu kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti na ile ya Mwenyekiti Taifa kisayansi sana

    Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa...
  16. Kwa faida ya Tanganyika ijayo ipo haja kwa watanzania wote wafurahie Tundu Lissu kuomba nafasi ya Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema. Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya...
  17. K

    Rasimalimali za nchi ni muhimu kulindwa na kila mtu , uwanja wa Taifa ni miongoni mwa rasimalimali muhimu Kwa maendeleo ya vipaji vya soka

    Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo. Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
  18. Timu ya Taifa ya Ivory Coast timu bora ya Taifa ya wanaume

    Timu ya Taifa ya Ivory Coast ambao ni mabingwa watetezi wa AFCON , wametajwa kuwa timu bora ya Taifa kwa upande wa wanaume
  19. Pre GE2025 Ratiba Kamili Ya Uchaguzi Wa CHADEMA Taifa

    Ratiba Kamili Ya Uchaguzi Wa CHADEMA Taifa. Katibu Mkuu anawatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa utakaofanyika Januari, 2025. Fomu za kuomba kugombea nafasi za uongozi ngazi ya Taifa zinapatikana ofisi za Makao Makuu ya Chama...
  20. 4

    Pendekezo: John Heche chukua fomu ya kungombea wenyekiti Taifa (CHADEMA) Lissu na Mbowe wote wapigwe chini

    Wakuu wana jf amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake. Husika na mada tajwa hapo juu. Kwa maslai mapana ya chama na kwa kuzingatia kwamba chama bado kinawaitaji mh Lissu pamoja na mhMbowe katika kuendeleza mapambano ya kuiodoa ccm madarakani, lakini pia mapambano aya bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…