Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.
Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike.
Kiwanda cha nguo zisizochuja kabisa?
Huo uwezo wanao ila hawawezi kufanya hivyo...! Kwanini?
Mwaka jana nilikutana na jamaa...
Zingatia hapa tairi mbovu yaani ilishatumika, ikachakaa ama ikaharibika hivyo haifai kutumika tena kwenye magari
Hii ni fursa ambayo itawafaa sana vijana wetu wa JF wanaosaka ajira
Tairi moja mbovu ya gari kubwa ya mizigo unaweza kuinunua kwa kati ya shilingi 2000 mpaka 5000 kulingana na ubora...
Kutambua size ya tairi ya gari yako ni rahisi. Unaweza kupata habari hii kwenye ukuta wa tairi yako,
Maelezo haya yanaorodhesha ukubwa na vipimo vya tairi lako, pamoja na kuhakikisha inatii viwango vya usalama.
Kila sehemu ya nambari inasimamia nini:
Upana(width) - Upana wa tairi katika...
Nina gari aina ya van.
Kwenye maelezo ya kitabu cha gari (owners manual) na vile vile ilivyokuwa kwenye magurudumu yaliyokuwa kwenye gari lilipotoka Japan, vipimo vyake ni 165/70 ×13.
Baadhi ya wenye magari kama langu wanatumia magurudumu yenye kipimo cha 175 na 185 badala ya 165.
Naomba...
Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na akisemwe eti amekoswa adabu!
Kibaka unaweza mtia kiberiti kwa hofu kesho anaweza kuiba na kuku...
Karibu Tairiyako General Enterprise
Call/WhatsApp :+255621560797
Tunapatikana Arusha na Dar es Salaam
EMAIL:Tairiyako@tairiyako.com
obedimollel20@gmail.com
Tairi ni kama ifuatavyo:
2 pieces Pirelli P Zero (PZ4) size 265/45R 18
2 pieces Ironman iMOVE GEN2 size 245/50R 18
Rim size ni inchi 18.
Hizi tairi niliagiza brand new kutoka USA mwezi February 2022 na zimetembea chini ya kilomita 20. Ni mpya tuseme.
Sababu ya kuuza ni kwamba mara baada ya...
Tairi zipo 2 rim ziko 4
Hali yake ni nzuri, zilifungwa kwenye Nissan Xtrail kimakosa so ndo nimezivua
Bei ya rim na tairi complete laki 2 na nusu (kila moja)
Rim pekee laki na 80
Mazungumzo yapo kwa aliyepo serious
Year of Manufacture: mwaka jana (2021) katikati
Mzigo upo DSM, Sinza Kilimani...
Hakuna sababu kwanini mtu apate ajali au tairi ivimbe au ‘Rim’ ipinde au tairi lichanike au mafutayaende kwa wingi kisa tu presha ya upepo kwenye tairi ilikuwa ndogo.
Napendekeza kifungwe kufuniko cha valve ya tairi chenye ‘bluetooth’ ndani yake, ambapo tairi likipungia upepo tu, sensa ndani ya...
Salaam,
Shirika la ndege Tanzania, ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii ambayo inaonesha tairi iliyoisha.
UFAFANUZI KUHUSU HALI YA TAIRI LA NDEGE YA KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA JAMii
ATCL inapenda...
Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari.
Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana.
Ni size gani itafaa?
Sitaki tairi za Kichina.
Kuna hatua sita za kufuata ndani ya dakika mbili tangu kupasuka tairi ambazo unapaswa kuzifuata.
1. USIHAMAKI wala Kukanyaga Breki, tulia kwanza kwa sababu mara baada ya kupasuka tairi gari lako litaanza kwenda kombo na hivyo utahitajika kulimudu.
2. KAMATA USUKANI Kwa nguvu kwa mikono yote...
Matairi au magurudumu ni miongoni mwa vifaa muhimu sana ktk vyombo vya usafiri kama baiskeli,pikipiki,gari,ndege na aina mbalimbali za mitambo au mashine nyingi ili kuweka urahisi zaidi ktk kutenda kazi.
Ziko aina nyingi za magurudumu au matairi yanayotokana na chuma.mpira au hata mbao...
TAIRI
Ni sehemu ya nje ya guruudumu
Sasa sababu zinazo athiri matairi ya magari zinawezakua:
Namna ya ujazaji upepo. Unapojaza upepo kwenye matairi in sharti uangalie usijaze kupita kiasi au kupunguza kupita kiasi ambavyo mtengenezaji anataka.
Barabara mbovu (Rough road). Unakutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.