tairi

In the mythology of Mangareva (French Polynesia), Tairi (Ta'iri) is the god of thunder.

View More On Wikipedia.org
  1. Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi bidhaa za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.

    Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha. Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike. Kiwanda cha nguo zisizochuja kabisa? Huo uwezo wanao ila hawawezi kufanya hivyo...! Kwanini? Mwaka jana nilikutana na jamaa...
  2. Ubunifu wa kutumia tairi chakavu za gari

  3. Maajabu ya tairi mbovu na utajiri uliojificha ndani yake

    Zingatia hapa tairi mbovu yaani ilishatumika, ikachakaa ama ikaharibika hivyo haifai kutumika tena kwenye magari Hii ni fursa ambayo itawafaa sana vijana wetu wa JF wanaosaka ajira Tairi moja mbovu ya gari kubwa ya mizigo unaweza kuinunua kwa kati ya shilingi 2000 mpaka 5000 kulingana na ubora...
  4. Jinsi ya kuangalia size ya tairi ya gari

    Kutambua size ya tairi ya gari yako ni rahisi. Unaweza kupata habari hii kwenye ukuta wa tairi yako, Maelezo haya yanaorodhesha ukubwa na vipimo vya tairi lako, pamoja na kuhakikisha inatii viwango vya usalama. Kila sehemu ya nambari inasimamia nini: Upana(width) - Upana wa tairi katika...
  5. D

    Tofauti ya matumizi ya magurudumu (tairi) zenye vipimo hivi?

    Nina gari aina ya van. Kwenye maelezo ya kitabu cha gari (owners manual) na vile vile ilivyokuwa kwenye magurudumu yaliyokuwa kwenye gari lilipotoka Japan, vipimo vyake ni 165/70 ×13. Baadhi ya wenye magari kama langu wanatumia magurudumu yenye kipimo cha 175 na 185 badala ya 165. Naomba...
  6. S

    Kibaka akiiba kuku, mnavisha tairi na kumchoma, Mtawala akiuza au kugawa maliasili za nchi kiholela, mnamtetea na kutaka aheshimiwe!

    Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na akisemwe eti amekoswa adabu! Kibaka unaweza mtia kiberiti kwa hofu kesho anaweza kuiba na kuku...
  7. Tunauza tairi za magari makubwa na madogo kwa bei nzuri kabisa

    Karibu Tairiyako General Enterprise Call/WhatsApp :+255621560797 Tunapatikana Arusha na Dar es Salaam EMAIL:Tairiyako@tairiyako.com obedimollel20@gmail.com
  8. C

    INAUZWA Nauza Tairi Adimu na Mpya za Pirelli/ iMove

    Tairi ni kama ifuatavyo: 2 pieces Pirelli P Zero (PZ4) size 265/45R 18 2 pieces Ironman iMOVE GEN2 size 245/50R 18 Rim size ni inchi 18. Hizi tairi niliagiza brand new kutoka USA mwezi February 2022 na zimetembea chini ya kilomita 20. Ni mpya tuseme. Sababu ya kuuza ni kwamba mara baada ya...
  9. L

    Tairi na rim zake size 20 zinauzwa, zimevuliwa kwenye gari

    Tairi zipo 2 rim ziko 4 Hali yake ni nzuri, zilifungwa kwenye Nissan Xtrail kimakosa so ndo nimezivua Bei ya rim na tairi complete laki 2 na nusu (kila moja) Rim pekee laki na 80 Mazungumzo yapo kwa aliyepo serious Year of Manufacture: mwaka jana (2021) katikati Mzigo upo DSM, Sinza Kilimani...
  10. Napendekeza ‘smart tyre valve cap’, tairi ikipungua upepo basi taa ya ‘alert’ kama ile ya pembe tatu na alama ya mshangao iwake, kumaanisha hatari

    Hakuna sababu kwanini mtu apate ajali au tairi ivimbe au ‘Rim’ ipinde au tairi lichanike au mafutayaende kwa wingi kisa tu presha ya upepo kwenye tairi ilikuwa ndogo. Napendekeza kifungwe kufuniko cha valve ya tairi chenye ‘bluetooth’ ndani yake, ambapo tairi likipungia upepo tu, sensa ndani ya...
  11. ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi la ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii

    Salaam, Shirika la ndege Tanzania, ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii ambayo inaonesha tairi iliyoisha. UFAFANUZI KUHUSU HALI YA TAIRI LA NDEGE YA KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA JAMii ATCL inapenda...
  12. Nataka kubadili Tairi kwenye gari la Toyota IST Size 195/60R16 kwenda size kubwa inayofaa

    Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari. Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana. Ni size gani itafaa? Sitaki tairi za Kichina.
  13. Tairi za gari bado mpya zinauzwa bei ya kutupa

    Kwa gari za pori Toyota hilux, land cruiser tairi hzo size 15, used zinauzwa, zipo Dodoma. zote 4 kwa laki 6 (tsh 600,000) No ya simu 0716226603
  14. M

    Umuhimu wa kufunga mkanda dereva nusura akanyagwe na tairi la gari

  15. Ufanye nini tairi likipasuka (basti)

    Kuna hatua sita za kufuata ndani ya dakika mbili tangu kupasuka tairi ambazo unapaswa kuzifuata. 1. USIHAMAKI wala Kukanyaga Breki, tulia kwanza kwa sababu mara baada ya kupasuka tairi gari lako litaanza kwenda kombo na hivyo utahitajika kulimudu. 2. KAMATA USUKANI Kwa nguvu kwa mikono yote...
  16. E

    Natafuta tairi ya baiskeli na tube zake, liwe na inchi 28

    Natafuta tairi inchi 28 na tube zake nipo Morogoro kama unashughulika nazo comments tumfanye biashara.
  17. Je, wajua kwanini tairi (magurudumu) zote zina rangi nyeusi! Je kuna tairi zenye rangi tofauti na nyeusi?

    Matairi au magurudumu ni miongoni mwa vifaa muhimu sana ktk vyombo vya usafiri kama baiskeli,pikipiki,gari,ndege na aina mbalimbali za mitambo au mashine nyingi ili kuweka urahisi zaidi ktk kutenda kazi. Ziko aina nyingi za magurudumu au matairi yanayotokana na chuma.mpira au hata mbao...
  18. Zijue sababu zinazoathiri matairi ya magari

    TAIRI Ni sehemu ya nje ya guruudumu Sasa sababu zinazo athiri matairi ya magari zinawezakua: Namna ya ujazaji upepo. Unapojaza upepo kwenye matairi in sharti uangalie usijaze kupita kiasi au kupunguza kupita kiasi ambavyo mtengenezaji anataka. Barabara mbovu (Rough road). Unakutaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…