taishan

  1. NetworkEngineer

    Ushauri kuhusu Mabati ya Taishan, Kinglion na Sunbank

    Habari, Naomba kujua aliyewahi kutumia mabati ya kampuni hizo ubora wake ukoje, kwa eneo nililopo ndio bati zinazopatikana madukani sasa sijajua naenda wapi, ALAF najua wako bora ila bei yaoo inaniogopesha.
  2. S

    Mabati ya Taishan Mbeya

    ndugu mteja karibu kujipatia mabati ya taishan kiwandani mbeya mabati imara yanayostahimili vipindi vyote vya jua na mvua bila kupauka ○aina za mabati tuliyonayo migongo midogo migongo mipana (IT4 ,IT5) milano tiles (vigae) Usafiri ni bure hadi site ,punguzo la beimisumali lipo kwa mteja wa...
  3. K

    Mabati ya kampuni ya Taishan nani anayafahamu vizur?

    Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
Back
Top Bottom