tajiri chui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Naomba msaada wa kukutanishwa na tajiri Chief Godlove na Tajiri Chui

    Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
  2. Nehemia Kilave

    Una kipi cha kumshauri Tajiri Chui katika magumu anayopitia ?

    Angalia pia https://youtu.be/53MhmoFZAN4?si=xlqIQQBbe9T22_kH
  3. Waufukweni

    Mama akataa zawadi ya gari kutoka kwa mwanawe, adai 'hili ni Jeneza', amshutumu kwa Freemason

    Mwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni Mama wa msanii wa muziki Bongo, Hamisi 'Tajiri Chui' Mwelemi amekataa gari jipya alilopewa na mwanawe huyo, akidai kuwa zawadi hiyo inahusiana na shughuli za Freemason. Akiwa na msimamo mkali, mama huyo alidai gari hilo "ni jeneza" na kuonya kuwa hataki...
Back
Top Bottom