Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini.
Nimeshasema wanawake msiwapende hawa wanaume masikini sababu hawana haki ya KUPENDWA.
Tajiri nimeshaongea Mimi Kila siku naacha Kodi ya meza million 2 Kwa mke wangu...