Utangulizi
Moshi mjini, maarufu kwa mandhari yake ya kuvutia na utamaduni wa kipekee, sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya usafi.
Kituo cha mabasi kilichoko katikati ya mji kimekuwa kielelezo cha hali ya uchafuzi inayohitaji jitihada za haraka na za ziada ili kurejesha heshima ya mji huu...
Nataka nianze work from home.
Sasa naulizia hizi PC naziona online bei Tsh 550-750k All in One, majina makubwa kama Dell, HP, Lenovo.
Sasa niko hapa najiuliza, zina faa au danganya toto?
Kama aliewahi kutumia matumizi mbalimbali anao mrejesho.
Februari 12, 2025, Mdau wa JamiiForums kupitia Jukwaa la Fichua Uovu alielezea kukerwa na tabia ya mamlaka zinazohusika na uzoaji taka mitaani katika Manispaa ya Singida kuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery, hatimaye taka zimeanza kuchukuliwa kutoka...
Mbunge wa Sumve, Emmanuel Kasalali amesema mamlaka maalumu inapaswa kuwepo ili kusimamia masuala ya Mazingira kwani haijachukuliwa kwa mkazo wake
Amesema siku za hivi karibuni Nemc imekuwa ikifunguia baadhi ya baa lakini baadhi ya wakuu wa wilaya wanasimamia kuzifungua
Pamoja na hilo amesema...
Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana.
Majaji wa Tanzania na Mahakimu wengi ni wafungwa wa Executive. Itoshe kusema Mahakama za Tanzania sio Kimbilio la Haki.
Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea.
Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo yatakua sio mambo je huko kwenu kukoje?
Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki??
Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
Kituo cha Daladala cha Mbezi Stendi upande wa chini, zinakopaki Daladala za Kinyerezi na Bajaji za Malamba Mawili, kuna takataka zimerundikwa kwa muda mrefu sasa zinatoa harufu kali sana, mbaya zaidi Wafanyabiashara wanamwaga hapo matunda mabovu, mboga zilizoharibika na aina nyingine za taka na...
Watu wana pesa jamani.
Kama za majini au za madili Mimi sijui ninachojua ni kwamba watu wana pesa sana.
Yawezekana mifumo ya sasa ni rafiki kwa watafutaji.
Tuombe Mungu asitokee tena mtu kama Magufuli aliyevurugavuruga uchumi wa wananchi na wananchi wakamshangilia.
Siko hapa kumsifia Rais...
Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa.
Chanzo: ITV
Pia soma ~ Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu
Leo asubuhi katika makazi yangu mapya Dar es Salaam walikuja wadada wawili kudai kilichoitwa hela ya taka na mazungumzo yetu yalikua kama ifuatavyo;
Wadada: Kaka mambo
Mimi: poa
Mdada 1: Kaka hela ya taka
Mimi: wenyewe hawapo
Mdada 1: wewe si muhusika pia inabidi utoe hela ya taka
Mimi: Dada...
HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA
Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana muda mtefu huku ikilelezwa ni kwa sababu ya miundombinu na sababu nyingine nyingi.
Kwa sasa hivi...
Maeneo ya Kinzudi
Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo ambacho ni kinyume na uhifadhi wa mazingira.
Walianza kwenye viwanja vilivyo mabondeni, makazi ya watu na sasa wanamwaga kwenye mito iliyochimbika baada ya mvua kukatika.
Adha, hii...
Sehemu kubwa ya Takataka ya Pasifiki ni mkusanyiko wa uchafu wa baharini katika Bahari ya Pasifiki ya Kaskazini. Uchafu wa baharini ni takataka ambayo huishia kwenye bahari. Kipande Kikubwa cha Takataka cha Pasifiki, pia kinajulikana kama eneo la takataka la Pasifiki, hutenganisha maji kutoka...
Wakazi wa Magomeni Mtambani tupo hatarini kwa magonjwa ya mlipuko, magari ya kubeba takataka yanakaa mpaka mwezi bila kuchukua takataka na takataka kuzagaa mitaani.
Pia soma
- DOKEZO - Magomeni, Kanisani: Dampo linahatarisha afya za watu, viongozi chukueni hatua
- Taka zimejazana sana eneo la...
Anonymous
Thread
magari ya takataka
magonjwa ya mlipuko
takataka
uchafu magomeni
Kumekuwa na usafirishaji wa taka ovyo bila kufuata utaratibu wa kiafya hivyo inapelekea maji machafu yenye harufu kali sana kumwagika barabarani.
Tena unakuta gari la taka lipo kwenye foleni kwa hiyo watu wanateseka sana na harufu kali.
Kwa hiyo ningeshauri manisipaa kufanya utaratibu wa jinsi...
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.
Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali.
Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo...
Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji wanalalamikia hili.
So me naona japo ni suala dogo ambalo hata private sector inaweza kuifanya ikipewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.