Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt au Uber. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam.
Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0759280756.
Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz
Tukio la kusikitisha la kifo cha Catherine Serou, mwanamke Mamrekani, linatufundisha umuhimu wa kuchukua tahadhari zinapohusiana na usalama wako unapotumia huduma hizi. Kifo cha Catherine Serou kilitokea baada ya kupanda gari la mtu asiyejulikana, akiwa na imani kuwa ni dereva wa Uber.
Usalama...
Habari zenu wana JamiiForums?
Leo nimekuja na hili suala ambalo nimejaribu kulitafutia uvumbuzi ila sijafanikiwa.
Jumamosi ya tarehe 13/05/2023, nikiwa ndani ya uwanja wa JK T2 jijini Dar es Salaam nilishuhudia mambo ambayo sikutegemea kama yanaweza kutokea hususani kwenye maeneo kama yale...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza mwenye uelewa kuhusu hizi private cars (Uber, Bolt etc) unaweza kuwa unaingiza kiasi gani kwa siku faida na hasara zake anisaidie au kama kuna dereva ana uzoefu na hii kazi tuwasiliane tukielewana tunaweza fanya kazi pamoja.