Wadau,
Nimeona akina Kitenge wakitangaza fursa ya mikopo kwa kampuni ya mitandao ya Tala. Napenda kujua kwa yeyote aliyewahi kuchukua mkopo Tala uzoefu wake ukoje, hasa kuhusu:
1. Kiwango cha mkopo: Je, ni kiwango gani mtu anaweza kuomba?
2. Riba: Riba yao imekaaje, na inalipwa...
Kutokana na hatua kadhaa zilizoanza kuchukuliwa na BOT, Hawa Branch nao wameanza kusitisha huduma za mikopo kwa wateja wengi haswa Watanzania kwa kisingizio kama Cha Tala, kuwa wanafanyia marekebisho mifumo Yao.
Habari hii iwafikie wateja wao au wanaotarajia kuwa wateja wao.
Wakuu Sina mambo mengi, naombeni uhakika wa utoaji wa mkopo toka Tala online loan.
Niko kwenye Mazingira ambayo nahitaji pesa na nimekutana na matangazo Yao online nikaona wanaweza kuwa msaada katika kipindi hiki nachokipitia.
Vipi wakuu Hawa Tala online loan ni really au chqnga la macho
Hapo vip!!
Enzi nikiwa chuo kulikuwaga na kampuni inaitwa Tala, yaani ukijaza form yao tu, wanakupa pesa. Washikaji zangu wengi walikopa ila wengi hawakurudisha.
Huyu jamaa amekuja na wazo zuri ila kwa Waafrika asili yao sio waaminifu, nina imani huo mpango kwa Wazungu ingefanikiwa kwa...
Kuna UTAPELI mkubwa kuna watu wanajiita TALA MIKOPO,wanadanganya watu kwamba wanatoa mikopo kwa Riba ndogo,unaambiwa weka Akiba Kiasi fulani,mfano ukitaka kukopa Laki mbili unaambiwa weka 32,000,ukiweka pesa hiyo kwa mujibu wa Maekezo yao hiyo 32000 ndo inakuwa imeliwa
Hawa majamaa kumbe sio wa kweli, ukiwa mtandaoni wanajinasibu sana kuwa unapewa mkopo ndani ya masaa machache, nimeanza kuparangana toka juzi tena wanakomandi kuanza na elfu kumi ajabu ni kuwa kila nikiattach vinakuja vigezo vingine Kwa chini mpaka barua ya mtendaji na wadhamini watatu...
Ndugu zangu tunakumbuka kuwa Branch na Tala walikua wakichuana sana na kutupa mikopo ya papo kwa hapo kupitia simu yako ya mkononi. Wapo watu wengi walionufaika sana mikopo hiyo kwa namna tofauti. Ilifikia pahala Tala wakatuondokea bila taarifa yeyote ya kueleweka kitendo kilichotuumiza sana...
Hawa TALA bado wanaendelea kuwaibia watu tena kwakutumia clip za wasanii maarufu ...baya zaidi wana dai pesa utatumiwa online ... mamlaka husika haiwezi kamata hawa watu?? ...mbona vitu vingine ni rahisi kuvifuatilia mfano mikutano ya ndani ya vyama pinzani kwanini jambo ovu kama hili...
Sijui ni sera za kijamaa au nini husababisha Tanzania pawe pagumu kuingilika kibiashara, haswa kwa hizi za kwenye mitandao. Brighter Monday wamehama na kuamua kuendelea na huduma zao Nigeria, Ghana, Senegal, Kenya, Uganda, na Ethiopia.
Sio hao tu, wengine wengi wamefungasha na kuhama, hawa...
Habari za Jumapili?
Katika maisha unapitia na changamoto kama hizo, nina mikopo japo sio mikubwa sana lakini inaniweka wasiwasi sana nisije nikaenda jela bure natafuta namna niwalipe madeni yao, lakini uchumi wa kati baba/mama kwangu ni shida sana; unasumbua sana mimi kwangu upo wa mwisho...
Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote.
Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu vifuatavyo:-
(a)uwe na kitambulisho, eidha cha kupigia kura, cha taifa au leseni ya udereva.
(b)laini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.