Nayaandika haya nikiwa na uchungu mkubwa rohoni mwangu. Nikiangalia wale walio pewa mamlaka ya usimamizi wa sheria ya Allah wanafanya mambo mazito ya kumuasi Allah na kudhulumu watu.
Kwanza nibainishe mimi sio mtu wa kuendeshwa na mihemko ya kiharakati... Sina chuki juu ya bakwata na...