Huduma zifuatazo zinapatikana kwa watumiaji wote wa accounting package ya tally na kwa wale ambao wanataka kuanza kutumia
Kufanya installation ya license mpya
Kufanya renewal ya license
Ku setup chart of accounts na opening balance
Ku split data according to financial years
Kufanya data entry...