Nimei copy X
Leo nimeshuhudia fedheha.
Yaani leo ilikuwa birthday ya dem mmoja hivi karibu na hapa ofisini, sasa ana jamaa anayempenda kweli. Na Jamaa sijui machale yakamcheza kutaka kujua yupo peke yake kwa dem, so akamuandalia zawadi nyingi tu na nyingine akamtumia kupitia mtu mwingine...