Hizi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini ngoja niwape point yangu.
Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo umeharibu mashart, utakuwa maskini zaidi ya ulivyokuwa mwanzo.
Mganga wa pili anasema utakuwa tajiri...