Wakuu Jmosi inaendaje?
Tanzania tumebarikiwa kuwa na makabila mengi yenye tamaduni mbalimbali ambazo kiasi chake zinaanza kupotea kutokana na miingiliano na wageni pamoja na sababu nyinginkede kede.
Mimi ni katika wale tumekulia mjini, tunaokoteza huku na huko na kujifunza kila siku kutokana...
Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je siwezi kufanikisha nia na madhumuni yangu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.