tamaduni za makabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tamaduni na mila za Makabila mbalimbali Tanzania: Utamaduni gani kwenye kabila lako unaona ni wa ajabu na haufanyiki sehemu nyingine?

    Wakuu Jmosi inaendaje? Tanzania tumebarikiwa kuwa na makabila mengi yenye tamaduni mbalimbali ambazo kiasi chake zinaanza kupotea kutokana na miingiliano na wageni pamoja na sababu nyinginkede kede. Mimi ni katika wale tumekulia mjini, tunaokoteza huku na huko na kujifunza kila siku kutokana...
  2. Hivi siwezi kabisa kuanzisha Kabila langu?

    Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je siwezi kufanikisha nia na madhumuni yangu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…