Dar es Salaam, 29 Septemba 2024 – Tamasha la chakula la Coca-Cola Tanzania maarafu kama ‘Coca-Cola Food Fest’ limezidi kunoga huku muuzaji mmoja, maarufu "Baba Lishe," akiibuka kuwa kivutio cha kipekee. Stanlaus Baron, ambaye ni muuzaji wa chakula anayekua kwa kasi, amejitokeza kupinga mitazamo...