Dini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.
Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.
Kuna tamasha linaendelea la 'kuiombea nchi na viongozi'
Waratibu ni vyombo kama WASAFI na wengineo. Swali, viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.