SHAJARA YA MWANAMZIZIMA:
DK BUSHIRI TAMIM NIMJUAYE
Na Alhaji Abdallah Tambaza
ALHAJI Dkt. Bushiri Salum Tamim (74), aliyefariki Ijumaa Mei 18, mwaka huu, kwenye Hospitali ya Taifa, Muhimbili, alikuwa si tu daktari wa kawaida aliyestaafu kazi hospitalini hapo; lakini pia alikuwa mmoja wa...