tamisemi kusimamia uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    LGE2024 Geita: Utata majina ya wapiga kura, mkurugenzi atoa ufafanuzi

    Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
  2. Hamduni

    LGE2024 CCM yasambaza viongozi na makada waandamizi nchi nzima kuzindua kampeni Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa 2024

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewasambaza viongozi wake wakiwamo wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika mikoa 26 ya Tanzania kushiriki uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa kesho Jumatano, Novemba 20, 2024. Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kuzindua kampeni...
  3. Mindyou

    Towards 2025 CHADEMA and ACT Wazalendo voice their concerns after hundreds of their stronghold candidates are disqualified from Local Government Elections

    It has been recently reported that hundreds of opposition candidates in the upcoming local government elections have been disqualified from participating. The ACT Wazalendo party reported that approximately 60% of their candidates have been disqualified for reasons they claim lack legal and...
  4. L

    LGE2024 Mahakama yaipa Ruhusa TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Oktoba 28.2024 imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa Mahakamani hapo na Watanzania watatu (3) ambao ni Bob Chacha Wangwe, Bubelwa Kaiza na Dkt. Ananilea Nkya dhidi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa...
  5. Mindyou

    LGE2024 Waziri Mchengerwa atangaza rasmi kukoma kwa madaraka ya viongozi wa vijiji na mitaa Tanzania

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameelekeza madaraka ya wenyeviti wa vijiji, wajumbe wa Halmashauri za Vijiji na Wenyeviti wa Vitongoji katika mamlaka za Wilaya, Miji na Mamlaka za miji midogo kukoma Oktoba 19, 2024 na nafasi zao...
  6. Mindyou

    LGE2024 Kigoma: Wakala wa CHADEMA arushiana maneno na Afisa uandikishaji baada ya kukatazwa kugusa daftari lenye orodha ya waliojiandikisha

    Wakuu, Kuna hii video kutokea huko Kasulu mkoani Kigoma inayomuonesha Afisa mwandikishaji ambaye amebainisha kuwa amepewa marufuku na TAMISEMI kwamba mawakala wa upinzani hawatakiwi kugusa daftari la orodha ya wapiga kura. Mvutano wa wawili hao umesababisha mabishano makubwa kati yao! Soma...
  7. Mindyou

    LGE2024 Zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefikia asilimia 45. Tanga yaongoza!

    Waziri wa TAMISEMI , Mohamed Mchengerwa, ametangaza kuwa uandikishaji wapiga kura wa serikali za mitaa umefikia asilimia 45 ya idadi ya watu wanaostahiki kushiriki tangu zoezi hilo lilipoanza tarehe 11 Oktoba 2024. “Kufikia jioni ya tarehe 14 Oktoba 2024, siku nne tangu kuanza kwa zoezi hili...
  8. M

    LGE2024 TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

    Angalia hapa kwa makini Afisa uandikishaji anaruka nafasi makusudi badae lazima atapachika majina ya watu. OR TAMISEMI Haya ndio maelekeozo mliyowapa maofisa Uandikishaji? Bado mnasema huu uchaguzi hauna uchakachuaji? Haya yana baraka za nani? Kwa nini mnapenda kulipelekaTaifa kama watu wote...
  9. milele amina

    DOKEZO Uhakikisho wa Posho za Waandikishaji wa Orodha ya Wapiga Kura karibu Halmashauri zote nchi wanahujumiwa

    UTANGULIZI Katika mazingira ya kisiasa yanayoendelea kubadilika, mchakato wa uchaguzi unachukua nafasi muhimu katika demokrasia ya nchi. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazokabili mchakato huu, mojawapo ikiwa ni tabia ya baadhi ya watumishi wasio waaminifu katika ofisi za wakurugenzi wa...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi kwenye Ukatili wa Kijinsia yataleta mabadiliko yoyote kwenye ushiriki wa wanawake?

    Ni wazi kuwa Tanzania ipo katika msimu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, ambapo Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuandaa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Hii itafanywa kwa kushirikiana na vyama vya siasa, ikizingatia marekebisho yaliyofanywa Februari 2024 kuhusu ukatili...
  11. Suley2019

    Pre GE2025 Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo zilizotungwa kwa lengo la uratibu na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 kupitia...
  12. Matulanya Mputa

    Pre GE2025 Kitendo cha Mahakama kwenda kutoa hukumu ya TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kuzidi kubariki uovu wa CCM

    Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya...
  13. mwanamwana

    Pre GE2025 Askofu Bagonza: Ushahidi wa Marko Ng'umbi unasambaratisha uhalali wa TAMISEMI na tume “huru” kusimamia chaguzi kwa uhuru na haki

    Askofu Bagonza "Jumapili ya 1 September mosi 2024, mmoja wa watekaji wa 4R alijitokeza hadharani na kutoa siri kuwa alihusika katika kuvuruga Nchi na kufanya uhaini wa serikali dhidi ya wananchi, ni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido anayeitwa Marko Henry Ng'umbi, Rais ametengua uteuzi wake...
Back
Top Bottom