Wakuu,
Kama mnavyojua kesho kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaanza kesho.
Wakati napitia hizi kanuni za kampeni za Uchaguzi kuna kipengele nimekiona ambacho kama wapinzani kinaweza kutumika vibaya
Kulingana na kanuni za kampeni kipengele 27 (1) ni kwamba Mkuu Wa Polisi Wilaya ndio...
Wakuu huko mkoani Njombe mambo yameendelea kutokota kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa.
Nimekutana na hii clip imenipa sonona sana ambapo Katibu wa ACT Wazalendo mkoa wa Njombe, Stanley Mbembati, amesema kuwa wagombea wote wa ACT Wazalendo wilayani Ludewa wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro...
Wakuu wakati joto la uchaguzi likiendelea kushamiri, Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ameendelea kuhoji maswali mazito kuhusiana na jinsi mchakato ulivyo.
Kitima amehoji maswali kuhusu ukimya wa viongozi wa dini kwenye uchaguzi akisema kuwa...
Wakuu,
Vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushika kasi.
Kupitia mtandao wa X, kada wa ACT Wazalendo amefichua kuwa baadhi ya wagombea wa ACT Wazalendo wameenguliwa kwa kile kilichoonekana kuwa amekosea kuweka mdhamini sahihi na kushindwa kuelezea vizuri wadhfa anaoenda...
Mimi ni mmoja wa makada wa CHADEMA ambao tulikuwa tunasimamia uchaguzi mkoani Geita eneo la NMC
Kama moja ya wasimamizi wa uchaguzi huo, mara baada ya majina kubandikwa nimegundua udanganyifu mkubwa uliofanywa ikiwemo uwepo wa wapiga kura hewa takriban 300.
Orodha ya wapiga kura...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameelekeza madaraka ya wenyeviti wa vijiji, wajumbe wa Halmashauri za Vijiji na Wenyeviti wa Vitongoji katika mamlaka za Wilaya, Miji na Mamlaka za miji midogo kukoma Oktoba 19, 2024 na nafasi zao...
Katibu wa CHADEMA, John Mnyika leo akiongea na waandishi amemkaanga Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kwa kusema kuwa takwimu alizozitoa waziri huyo hivi karibuni ni za uongo.
Mnyika amesema kuwa kauli ya Mchengerwa alidanganya aliposema kuwa kuna mwamko mkubwa wa wananchi katika zoezi la...
Ni wazi kuwa Tanzania ipo katika msimu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, ambapo Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuandaa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Hii itafanywa kwa kushirikiana na vyama vya siasa, ikizingatia marekebisho yaliyofanywa Februari 2024 kuhusu ukatili...
Wanahangaika mahakamani kupambania uchaguzi wa serikali za mitaa usimamishwe wenzao wako busy kusaka kura mtaa kwa mtaa huku wakijua mahakimu na majaji wote wanateuliwa kutoka CCM, watasubiri sana.
Wapo mitandaoni kutukana viongozi wenzao wapo mitandaoni kusaka kura
USSR
Nimelia sana, nilipoiona hii taarifa.
---
Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ibara ya Tano Ibara ya Tano, ibara ndogo ya tatu D, inasema, Bunge litatunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.