Wanabodi, kwa kauli hii ya Jaji Warioba ndio kusema kwamba CCM wanaanza kukubali mmoja mmoja kwamba walipora uchaguzi au kuna namna hatujamuelewa mzee wetu?
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati anaongea na wanahabari hivi karibuni amedokeza na kukubali kuwa...