Wanajamvi, bado natafakari hotuba ya Ruto ambaye ameitoa hivi punde. Ninatizama live hivyo nitaweka hapa text ya hotuba.
Hatahivyo ni hotuba ya hovyo sana na anaonekana ku panic. Ameongea kama vile maandamano hayo ni ya wahuni tu na hivyo ameazimia kutumia nguvu zote za kimamlaka alizonazo...