Wanabodi,
Siku ya jana Steven Mutambi, Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya TAMISEMI alikuwa akizungumza kwenye mahojiano pale Crown FM na moja ya kauli ambayo alitoa ni kuwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu, ule utaratibu wa mwaka 2020 kwamba wagombea watapita bila kupingwa...