tamko rasmi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

    Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba Mgeni Rasmi...
  2. LIKUD

    Serikali itoe tamko rasmi kuhusu kuadimika kwa nyama ya mbuzi jijini Dar es Salaam

    Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale VINGUNGUTI Machinjioni hakuna nyama ya mbuzi. Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jiji zima la Dar es...
  3. Roving Journalist

    Tanzania Digital Rights Coalition: Tamko Rasmi Dhidi ya Zuio la Matumizi ya VPN nchini Tanzania

    Tanzania Digital Rights Coalition, umoja wa mashirika yanayojitolea kusimamia na kukuza haki za kidijitali, kwa dhati unakemea taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa Ijumaa, tarehe 13 Oktoba 2023 na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayokataza matumizi VPNs nchini Tanzania...
  4. P

    Kwanini Rais Samia Hassan hadi sasa hajatoa tamko rasmi kuhusu mkataba wa DP World

    Ningependa kujua sababu za msingi za Rais Samia Suluhu Hassan kutowajibika kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa tamko lake rasmi kuhusu mkataba tatanishi wa DPW ambao kwa kiasi kikubwa unapingwa na Wananchi waliyo wengi? Nini sababu ya ukimya wa Rais Samia Suluhu Hassan?
  5. SYLLOGIST!

    Je, Ofisi ya Taifa ya Takwimu ina wajibu wa Kutoa Tamko kuhusu Usambazaji wa Takwimu zilizo bandikwa mitandaoni?

    Wakuu, Wahusika, Ni matumaini yangu mmejaa rehema na amani Asubuhi hii katika kukabiliana na majukumu yenu. Nawaombeni muda wenu mchache kutathmini Uzi huu ili kuweza kulinusuru Taifa. Mada: Katika kile nilchokiona kamaa ni ukiukwaji wa Sheria ya Takwimu, Statistics Act (revised 2019) Sehemu ya...
Back
Top Bottom