Wasanii wa tamthilia maarufu ya Mawio nchini Tanzania Gabo, Barnaba na Sarah leo wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro na kupokewa na Mhe. Balozi Saidi Yakubu.
Wasanii hao walioongozwa na Gabo wamemueleza Balozi Yakubu wapo Comoro kwa kuwa tamthilia yao ina mashabiki wengi Comoro na...