tamthilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Jinsi ya Kuandika Tamthilia za Kiswahili kwa Maigizo ya Jukwaani na Redioni.

    Utangulizi Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
  2. Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora kabisa kuwahi kutengenezwa Tanzania

    Kwa wale wenye upeo wa kujua vizuri watakubaliana nami. Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora za Lugha ya Kiswahili kuwahi kutengenezwa Tanzania. Ni aibu kwanini hatuna Tamthilia za namna ile kedekede, kwani tunanyimwa uhondo haswa. Wahusika wote kwenye entertainment industry tunaomba...
  3. Tamthilia ya Kombolela Season 2 ni kali sana

    Wakuu… Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine. Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!! Inasadifu maisha halisi ya uswahilini…
  4. L

    Tamthilia ipi unaweza kuangalia na familia yako?

    Kama isomekavyo Azam tv tamthilia ipi waweza angalia familia nzima 1. Nambari 10 2. Alicia 3. Evermore 4. Kombolela Tuanze na hizi kwanza
  5. Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

    Ni moja ya hadithi mzuri sana kwa uapande wangu maana ndani ya hii hadithi kuna vichekesho lakini pia inaonyesja jinsi gani watu tunavyo ishi Kwanza inatuonyesha watu walio shindwa kufanikiwa hawana shukurani hasa ndugu ata umtende jema gani bado haoni anaona wewe kumsaidia ni haki yake Pili...
  6. Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

    Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman. Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao. Najua mtaanza na stori za kutengeneza...
  7. HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA ILETWE ?

    WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA kuanza kutumika ???
  8. L

    Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika wapokelewa kwa mikono miwili na mashabiki Tanzania

    Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing, lilifungua ukurasa mpya wa mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na Afrika, na kukuza uhusiano wa kina...
  9. Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

    Habari za muda huu waungwana. Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana. Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na...
  10. Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

    Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2 Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala...
  11. Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

    Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani. Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na...
  12. L

    Tamthilia za China zavutia watazamaji na kujizolea umaarufu katika nchi za Afrika

    Tamthiliya za China zavutia watazamaji na kujizolea umaarufu katika nchi za Afrika Tamthilia na filamu nyingi za Kichina ambazo zinatafsiriwa kwa lugha mbalimbali, zinazidi kujizolea umaarufu na kupata mashabiki wengi katika majukwaa mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa tasnia ya burudani ya...
  13. Azam TV na Tamthilia za Kigeni

    Habar zenu wanajamvi. Pamoja na kwamba Azam Tv wanajinasibu kuwa wanawasaidia kuwakuza, kuwajenga na kuwatangaza wasanii wa ndani wa tamthilia na filamu kwa kupitia channel ya Sinema Zetu. Lakini uhalisia uliopo na usiojificha Azam Tv inazitangaza zaidi filamu na tamthilia za kigeni kuliko za...
  14. Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  15. J

    Tamthilia za Somalia za kalisha tamthilia za Tanzania kwa kushinda tuzo za Filamu ‘ZIFF’ 2024

    Muandaaji wa filamu nchini Somalia, Ahmed Farah amewamwaga waongozaji wa Tanzania baada ya kushinda Tuzo za Kimataifa za Filamu ‘ZIFF’ 2024 zilizotolewa leo Ngome Kongwe Zanzibar. Ahmed kupitia filamu yake ya Arday ameshinda Tuzo ya ZIFF 2024 katika kipengele cha tamthilia bora ya Afrika...
  16. L

    China yaungana na Waswahili kukikuza Kiswahili kwa kukitumia hadi kwenye tamthilia zake

    Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
  17. Lamata aende Bungeni, atapata vipaji vya kutosha kwa ajili ya tamthilia zake.

  18. G

    Kwa hali ya sasa kimaadili, nashauri watoto wawe wanaangalia tamthilia na katuni kutoka nchi za kiislam

    Yani sikuhizi ukiangalia muvi / series utagundua kwamba wameanza kuyapa nafasi kubwa mambo flani kuonesha kwamba ni kawaida, its ok, hakuna tatizo, n.k. Kuna kijana mdogo age kama 16 yupo hapa kwangu kwa masomo, akiwa free huwa anapenda kuangalia series kwenye tv, leo nimewasha tv nikakuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…