Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors.
Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
Wakuu vyakula vya Marekani sio vyepesi sana kujisosomola maana mimi nishazoea ugali mgumu sasa huku ni mwendo wa madude fulani ya ajabu ajabu.
Ila nikasikia wanasifia sana Taco nikaona ngoja nilo hilo taco wanalolisifu.
Aisee taco ni tamu mno, na leo nitakula matako mengine.
Picha ya Taco
Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football.
TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
Nakumbuka miaka ya 2001 kuja mpaka 2014 hivi Dar ilikuwa tamu mno. Maeneo ya Sinza na Mwenge ilikuwa maeneo matamu sana kuishi. Dah! Jamani Sinza ilikuwa tamu balaa, watoto wa Sinza walikuwa wakali balaa, hata sehemu zingine za uswazi nako watoto walikuwa wazuri balaa ila Sinza ndio ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.