tanapa

The Tanzania National Parks Authority commonly known as TANAPA is responsible for the management of Tanzania's national parks. TANAPA is a parastatal corporation and all its income is reinvested into the organization. It is governed by a number of instruments including the National Parks Act, Chapter 282 of the 2002 and the Wildlife Conservation Act No. 5 of 2009. TANAPA manages the nation's 22 National parks which covers approximately 15% of the land area and has the mandate to conserve and manage the wildlife in Tanzania, and to enforce the related laws and regulations in this industry. It manages the biodiversity of the country, protecting and conserving the flora and fauna. The organization does not have a mandate over the game reserves such as the Selous Game Reserve which is managed by the Tanzanian Wildlife Division and the Ngorongoro Conservation Area managed by the Ngorongoro Conservation Authority.The Arusha Manifesto gave the initial foundation for the expansion of the Tanzanian National Park authority and an increase in protected areas in the country, as of December 2015 parks, reserves and conservation areas cover about 14% percent of the land. Currently TANAPA is governed by the National Parks Ordinance Chapter 282 of the 2002 and manages 22 national parks.

View More On Wikipedia.org
  1. Internship TANAPA na TRA

    Nilikua nauliza km nikifanya internship kati ya hizi taasisi 2 kutakua na uwezekano wa kupata ajira zikitoka af pia hua wanalipa intern???!
  2. Barua ya wazi kwa Rais Samia: Kushindwa kutekeleza ujenzi wa Hotel ya TANAPA Chato

    Mh . Rais Samia, unaendelea vema,japo chato na mkoa wa Geita,tunalala tukilia usiku na mchana,Kila tukiona hotel imeota majani huko jirani na ziwa Victoria. Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya kuangazia masuala kadhaa yanayoathiri maendeleo ya Chato na wananchi...
  3. C

    DOKEZO TANAPA na NCAA: Mnatuibia Waongoza Watalii

    Kwa muda sasa, makampuni ya utalii nchini Tanzania yamekuwa yakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za serikali kama TANAPA na NCAA. Hali hii ni ya kusikitisha na ni kinyume na juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kukuza...
  4. A

    DOKEZO TANAPA na NCAA Mnatuibia waongoza watalii

    Kwa muda sasa, waendeshaji wa safari (waongoza watalii) nchini Tanzania wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za serikali kama TANAPA na NCAA. Hali hii ni ya kusikitisha na ni kinyume na juhudi za Rais Samia Suluhu...
  5. Tanapa na wizara ya mali asili na utalii mna mpango gani na biashara ya utalii?

    Salamu kwa wote. Kutokana na kuporomoka kwa dollar, wafanyabiashara ya utalii wamejikuta wakipata hasara kubwa kutokana na exchange rate ya Tanapa kubaki kuwa 2609 Tzs huku thamani ya dollar sokoni ni 2300$. Pamoja na serikali kusisitiza matumizi ya shillingi bado kwenye biashara ya utalii...
  6. Katavi: Askari wa TANAPA adaiwa kumuua mfugaji kwa risasi

    Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha...
  7. TANAPA yapokea mitambo na malori kuboresha miundombinu ya hifadhi za taifa Serengeti na Nyerere zenye thamani ya bil.6.4

    Dar es salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewakabidhi TANAPA Malori matano na mitambo mitano yenye thamani ya Dola milioni 2.4 sawa na shilingi Bilioni 6.4 za Kitanzania, tukio hilo limefanyika leo Disemba 2, 2024 katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu...
  8. M

    TANAPA yafanya kweli kwenye Mashindano ya Riadha - SHIMMUTA 2024

    Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeibuka mshindi wa kwanza wa jumla katika mchezo wa riadha kwa wanaume kwenye mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi, na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) 2024. Katika hafla ya kutangaza washindi mbalimbali kutoka taasisi...
  9. Waziri Chana apongeza utendaji kazi TANAPA, asisitiza uadilifu kufikia malengo

    ARUSHA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii. Ametoa pongezi hizo alipotembelea makao makuu...
  10. Waziri Chana Apongeza Utendaji Kazi TANAPA, Asisitiza Uadilifu Kufikia Malengo

    WAZIRI CHANA APONGEZA UTENDAJI KAZI TANAPA, ASISITIZA UADILIFU KUFIKIA MALENGO WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato...
  11. Esther Malleko Aiomba Serikali Kuendelea Kuboresha Bajeti za TAWA, NCAA na TANAPA

    Serikali itaendelea kuboresha bajeti ya Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori(TAWA), Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutegemeana na hali ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali ili kuimarisha shughuli za ulinzi na kuboresha miundombinu ya utalii. Haya...
  12. KERO Hali ya vyoo Olduvai Gorge inatisha, wageni wajisaidia nje

    Wakati mama anapambana kupata wageni million 5 Tanapa wameshindwa kuweka maji tu CHOONI hapa Olduvai. What an embarrassing situation.
  13. Interview za Tanapa - Arusha

    Habari, ninamasikitiko kwa jinsi ya zoezi la interview linavyoendeshwa huko Arusha. Kuna issue ya age limit 25 kwa diploma na degree 30,mfumo wa utumishi(ajira portal) umechuja kulingwna na age labda 25 sawa sasa watoto wameitwa baada ya miezi miwili au mitatu before alikuwa 24 wakati anaomba...
  14. Je, ni kwanini Millard Ayo na Mkurugenzi wa TANAPA wasishtakiwe kwa uhujumu uchumi?

    Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu. Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na...
  15. KERO TANAPA mna shida gani? Wageni kukaa siku nzima getini kisa mfumo wa malipo haufanyi kazi si sawa

    TANAPA mnashindwa kuwa service conscious, mnashindwa kuwa time conscious na mnashindwa kufanya maamuzi sahihi linapotokea tatizo, wageni wamekaa siku nzima getini eti kisa mifumo wa malipo haufanyi kazi? Mgeni kalipa flight, kalipa visa, kalipa accomodations, kalipa gari, kalipa park fees na...
  16. F

    Usaili wa TANAPA kada ya udereva

    Wakuu habari za Asubuhi. TANAPA wametoa majina ya interview na tarehe husika mdogo wangu ameoangiwa kuifanya hifadhi ya mto wa mbu karatu Arusha kwa post ya udereva please mwenye ujuzi wowote wa namna interview hizo zinakuwa naomba aseme hapa kupata Ushauri. 0742896907
  17. Hivi TANAPA nao wana makomando?

    Kwenye pitapita zangu nimekutana na picha chini hapo wanajiita makomando wa JU, hivi tofauti na JWTZ kuna Jeshi lingine lina makomando?
  18. H

    TANAPA wanajua moto unaowaka Serengeti unafukuza watalii?

    Kunachangamoto ya moto imekuwepo Serengeti mwezi wote wa sita na sasa hivi inaendelea hasa maeneo ya North(Kogatende) wakati huu ambapo ndio msimu wa utalii upo juu (peak) Tunajua huwa TANAPA wanachoma kila mwaka mwezi wa tatu hadi wa tano ila baada ya mvua kuendelea hadi msimu wa utalii...
  19. TANAPA yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato

    Alhamisi, Aprili 25, 2024 Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo zikiwemo za Burigi-Chato na ile ya Kisiwa cha Rubondo. Chato. Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya nyota...
  20. Kampeni ya “Vote now” yazinduliwa TANAPA

    KAMPENI YA “VOTE NOW” YAZINDULIWA TANAPA Na Edmund Salaho/Arusha. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limezindua kampeni mahususi ya kupigia kura vivutio vyake viwili ambavyo ni Hifadhi ya Taifa Serengeti na Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro ambavyo vinashindanishwa kama vivutio bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…