tandika

Tandika is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 42,014.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Nyumba ya kupanga maeneo ya Temeke, Tandika hadi Mbagala

    Natafuta chumba master sebule na jiko maeneo ya mbagala, tandika au temeke
  2. T

    Karibu Tukuhudumie katika Duka Letu la Uwakala Lililopo Tandika

    Karibu katika duka letu la Uwakala, Digital Financial Bridge (DFB), lililopo Tandika Sokoni. Tunatoa huduma za miamala ya simu kwa mitandao yote ikiwemo: Tigo Pesa Airtel Money M-Pesa Halo Pesa T-Pesa Azam Pesa Pia, tunatoa huduma za miamala ya benki mbalimbali kama vile: Absa Access Bank...
  3. LIKUD

    From Wailes Primary Kayumba to Azania Sec . Hongera sana Naynay wa Tandika House Of Fashion.A zote za kijana wako zimeniheshimisha kwa mama mkwe wangu

    Salha ( 19) is one of my girlfriends. She was born in 2005. Her mother was born in 1988. I am 3 years older than my mother in law. Nampenda Salha kwa sababu ana nyota Kali sana ya hela. Kwa mnao shangaa how comes Likud ninakuwa na mademu wengi hivyo? The answer is here 👇👇👇 Nina mademu wengi...
  4. M

    Uchafu wa Soko la Tandika ni hatari, Halmashauri ya Temeke inakusanya Fedha na haina inachofanya

    Nimekuwa nikienda kwenye Soko Kuu la Tandika kwa muda sasa, hivi karibuni hali ya mazingira ya soko hilo imekuwa ikizidi kuwa tata na inayotia ukakasi kiafya. Sehemu ya kupikia ambayo inatumiwa na Wanawake wengi kupika chakula cha biashara kuna jalala lililopo pembeni, kwa ujumla hali ya uchafu...
  5. L

    Wafanyabiashara Kariakoo wamekimbilia Mwenge, Tandika na Mbagala, wameona hali ngumu

    Huku Tandika, ukienda Mbagala rangi 3, ukienda Mwenge, ukienda Kinondoni biashara zinakwenda kama kawaida, wale waliogoma Kariakoo na kuwashawishi wa mikoani nao wagoner wanazuga tu, hakyamungu had j3 watarudi wenyewe. Biashara Tandika na Mwenge zinafanyika kwa kasi kubwa sana, tena wanaombea...
  6. hamza mahundu

    Chumba cha kupanga kinahitajika Daresalam maeneo yawe Tandika

    Bei ya chumba isizidi elf 30 kwa mwez. Ambaye anamjua dalali anitafute kwa namba hii 0656376814 Pesa ipo mfuko wa shati
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Wachezaji kama Kisinda wapo wengi Tandika

    "Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini" Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma. My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa wachezaji kutoka nje
  8. K

    Nimeona Madawa ya kulevya yanauzwa Tandika Sterio, Polisi fuatilieni

    Nimepita katika soko la Sterio pale karibu na Msikiti mkuu uliopo pale, nimekuta madawa ya kulevya yanauzwa na kutumiwa hadharani. Sijui Polisi na Uongozi wa Msikiti hawaoni au wanawaogopa ma-Don wa genge hilo?
  9. C

    Biashara ya maharage - Tandika

    Habari za saa hizi wanachama wa jukwaa la biashara na ujasiriamali. Nataka kufanya biashara ya kuuza maharage Tandika - dabo kibini ambapo ndipo lilipo soko la vyakula. Mtaji wangu si mkubwa saaana lakini kwa hii biashara inawezekana kufanyika. Nina 1.1m. Sasa nimekunja katika jukwaa hili...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Hapa ni kwa Fundi Muwa Tandika ziliposhonwa suti za wachezaji Yanga

    Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy 😂😂😂😂😂😂😂
  11. ommytk

    Barabara za Tandika ni changamoto, mashimo makubwa mno

    Kuna hii changamoto ya barabara za Tandika aisee ni mtihani mkubwa Serikali za mitaa usiku wajaribu kuangalia namna ya kufukia mashimo makubwa sana ambapo kuna zingine gari ndogo upiti Mimi Jana nimepasua sampo oil yote imemwagika wananchi hata kuweka kifusi wakati mamlaka zinajipanga kukarabati
  12. 2019

    Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

    Wilaya masikini kabisa kwa mkoa wa Dar es Salaam ni Temeke, wilaya yenye watu duni kabisa ni Temeke, wilaya iliyochelewa kabisa kimaendeleo ni Temeke. Hata mipango na miundombinu duni kabisa ni Temeke. Inaongoza kwa uchafu pia. Jambo la kushangaza nimepita soko Tandika kuna mitaa imepangwa...
Back
Top Bottom