taneps

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kurunzi

    Mtandao wa TANePS haupatikani nini Tatizo

    Mtandao wa Serekali TANepS hapatilani toka jana, mtandao huu ambao tender zote za serekali hupatikana kupitia mtandao huu imekuwa kero kubwa sana kwasababu wakandara na suppliers hutumia mtandao huu kupakuwa na kutuma tenda zao hali inayopelekea kuleta hofu. Kinacho nishangaza ni ukimya wa...
  2. anonymousme

    Taasisi za Umma kukwepa kutumia Mfumo wa Kielectronics (TANePS) Katika kufanya manunuzi ya Umma

    Pamoja na tamko la Waziri Mkuu Kusisitiza na Kuonya Taasisi Za UMMA kufanya Manunuzi kwa Kutumia Mfumo wa Mtandao (taneps) kikamilifu ambao una Uwazi Mkubwa. Uwazi huu unawezesha kupatikana kwa Mzabuni Mwenye Sifa, Pamoja na Kupunguza Mazingira ya Ubabaishaji na Rushwa. Pamoja na hayo, bado...
  3. B

    Je, mfumo wa TANEPS hauisadii Serikali?

    Je, huu mfumo wa manunuzi serikalini kupitia TANEPS hauisadii serikali. Ukisikiliza Ripoti ya CAG 2020/2021 unachoka kabisa, yaani kifaa ya mil 20 kinanunuliwa kwa mil 100 tender mfano ya kuongeza kina cha Bandari Tanga from bil 40 to bil 104. Serikali watumie to force account kupunguza...
Back
Top Bottom