Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam.
Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani ya saa 1 unaweza kukatika hata mara 5. Hali hii imesababisha kukwama kwa shughuli nyingi za kiuchumi...