Masama Kilimanjaro hii sehemu ni balaa wakuu umeme unakatika sio chini ya mara 50 kwa siku
yaani kila baada ya dakika 5 umeme unakatika
nina wiki ya pili kikazi huku aisee sio poa nikiwauliza wenyeji wanadai hii hali wameizoea na wanaumia lakini hawana jinsi
Masama Hai Kilimanjaro ni eneo la...