Mimi ni mmoja wa watu nisioridhika na maelezo yaliyotolewa na serikali kupitia kwa Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba, juu ya sababu za kuagiza umeme toka Ethiopia.
Sababu zilizotolewa;
Umeme wa mikoa ya kaskazini unapelea au kukosekana kabisa
Kukosekana kwa umeme huko...
Tatizo kubwa la wanasiasa wa Tanzania ni kufikiri kwamba Watanzania wote hawana uwezo wa kufikiri, na hivyo huridhika kutoa maelezo mepesi ya kisiasa hata kwenye mambo ya kisayansi.
Mfano ni hili la kupeleka umeme mikoa ya Kaskazini, ambapo Tanesco wanasema gharama za transmission ni kubwa -...
Wakuu,
Wakati napiga patrol zangu huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Biteko akiwa kwa mara nyingine anawasema TANESCO.
Kwenye hii clip Biteko, analalamika kuhusu ubovu wa huduma kwa wateja za TANESCO kama ambavyo mara zote anafanya. This time anasema:
"Mnaona watu wanalalamikia kuhusu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko bungeni jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema:
Katika mwaka 2023/24 Serikali iliendelea kuchukua hatua za kuimarisha uzalishaji na upatikanaji wa umeme nchini ambapo hadi...
Tanzania imekuwa ikikabiliwa na tatizo la Upungufu wa Umeme karibia kila mwaka licha ya kuwepo ahadi za kuondokana na tatizo hilo mara kwa mara kutoka kwa Mamlaka na Viongozi wake
Kwa takriban miaka 6, Serikali imekuwa ikitaja mikakati ya kumaliza tatizo la Upungufu wa Umeme linalosababisha...
Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) limesema mchakato wa kuuza umeme nje ya nchi umeanza kwa kujenzi wa njia za kusambaza umeme huo kuelekea Malawi, Uganda na Kenya
Mwakilishi wa Shirika hilo, Odilo Mutalemwa amesema hayo kwenye Maonesho ya Sita ya viwanda yanayofanyika visiwani Zanzibar...
Tanzania imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa mabilioni ya Shilingi wa kuunganisha umeme kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na zile za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambao ukikamilika, nchi itauza umeme mwingi nje.
Mradi huo pia utakuwa na faida nyingi...
Tanzania inakusudia kuzalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya Watanzania wote na ziada kwa ajili ya kuunza nje ya nchi ifikapo mwaka 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Felchesmi Mramba, aliyasema hayo wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa shirika hilo...
Najiuliza kabla ya kuanza kuuza wameshatenga ni kiasi gani watatumia kuanzisha viwanda vipya ili kuongeza ajira nchini?
wamefikiria ni namna gani nchi nzima itafaidika na umeme huo kabla ya kuanza kuugawa kwa wageni hasa ukilinganisha ni 10% ya watz wanafaidika na umeme kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.