Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) limesema mchakato wa kuuza umeme nje ya nchi umeanza kwa kujenzi wa njia za kusambaza umeme huo kuelekea Malawi, Uganda na Kenya
Mwakilishi wa Shirika hilo, Odilo Mutalemwa amesema hayo kwenye Maonesho ya Sita ya viwanda yanayofanyika visiwani Zanzibar...