tanesco iringa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    TANESCO Iringa, hili la kusitisha huduma saa saba mpaka saa nane mmelitoa wapi?

    Nimefika TANESCO kati ya saa saba naambiwa hakuna huduma mpaka saa nane. Nadhani hii si sawa hili ni shirika la huduma huduma huwa haikatishwi. Hii ni huduma kama Benki, Hospitali, Fire, Police, kwa kifupi hizi huwa zinaitwa ‘essential service’ hata kama mtataka kugoma kuna utaratibu maalumu...
Back
Top Bottom