Nimefika TANESCO kati ya saa saba naambiwa hakuna huduma mpaka saa nane.
Nadhani hii si sawa hili ni shirika la huduma huduma huwa haikatishwi. Hii ni huduma kama Benki, Hospitali, Fire, Police, kwa kifupi hizi huwa zinaitwa ‘essential service’ hata kama mtataka kugoma kuna utaratibu maalumu...